Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Washindani wa Makamba, Filikunjombe warejeshwa


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jji Mstaafu, Damian Lubuva akizungumza na wanahabari juu ya mambo yahusuyo tume hiyo.
UME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekubali rufani 13 zilizokatwa na wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali nchini, huku majimbo 10 ambayo wagombea wake walipita bila kupingwa, imewarejesha.
Kurudishwa kwao kunafanya baadhi ya wabunge waliokuwa wamepita bila kupingwa, sasa kuwa na wapinzani wao na baadhi ya majimbo hayo ni Bumbuli (January Makamba), Peramiho (Jenista Mhagama), Ludewa (Deo Filikunjombe) na Madaba (Mhagama), walitangazwa kupita bila kupingwa.

Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam, na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Kailima Kombwey wakati akitoa ufafanuzi wa pingamizi za wagombea ubunge na udiwani, yaliyowasilishwa kwenye tume hiyo.
Akizungumzia mapingamizi ya wabunge, Kasilima alisema walipokea pingamizi 56 za wabunge wa majimbo mbalimbali na kati ya hayo, 32 yametolewa uamuzi, huku wagombea 13 wakishinda rufaa hizo.
Majimbo hayo na wagombea waliorudishwa ni kama inavyoonekana kwenye mabano, Jimbo la Kinondoni, rufani mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, Karama Suleiman aliyewekewa pingamizi na mgombea wa CCM, Idd Azzan imekataliwa na mgombea huyo amerudishwa kwenye kinyang’anyiro.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top