Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MNARA WA KUMBUKUMBU WA MIAKA 50 YA MAPINDUZI WAFUNGULIWA ZANZIBAR.


 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbalimbali alipohudhuria katika Ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein akiwa pamoja na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman katika sehemu ya juu ya Mnara wa Kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiwa pamoja na Mke wake mama Mwanamwema Shein wakitembelea sehemu ya Mkahawa unaozunguuka juu ya Mnara wa Kumbukumbu ya  Miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.


 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein katikati akipatiwa maelezo na Mshauri wa Ujenzi wa mnara Habibu Nnur wakwanza kulia alipotembelea sehemu mbalimbali za mnara baada ya kuufungua Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohomed Shein akielezea jambo alipooneshwa kamera ya kuona sehemu za mbali wakati mtu akiwa juu ya mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia sehemu za mbali kwa kutumia kamera maalum zilizowekwa juu ya Mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mnara wa kumbukumbu wa miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani mjini Zanzibar.

PICHANA YUSSUF SIMAI ALI-MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top