Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Lulu atoa sababu kwanini hafungamani na chama cha siasa


11820548_1683409475227962_1535485925_n
Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu ameandika:
Nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..! Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda…kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani
Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua
kuitumia Kwa busara na kuifanya iwe na kwanza isiyo na majuto Kwa kutofuata mkumbo wowote wa ndugu,jamaa,marafiki au watu walionizunguka..! Tatu,Nimependa kuitumia NAFASI hii zaidi Kwa UHUSIKA wa ELIZABETH na sio LULU nikimaanisha ikiwa kila kura ya mwananchi wa wakawaida ni ya siri na kuuridhisha moyo wake basi na mm nitakuwa mwananchi wa kawaida kbsa katika hili..! Nne,natoa pongezi Kwa wasanii wenzangu waloweza kushiriki Kwa namna moja au nyingine ktk ku support upande mmoja au mwingine kwani wameonyesha ujasiri na mapenzi ya kweli kwa vyama wanavyo support ila tu mabishano ya hoja ni mazuri zaidi na yanaweza kuepusha ugomvi au kuvunja mahusiano yetu ambayo yalikuwepo kabla ya uchaguzi na yatatakiwa kuendelea kuwepo baada ya uchaguzi..! tano,nawatakia kila la kheri wagombea wote na natumaini uchaguzi utakuwa wa sawa na haki..!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top