Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Diamond atoa sababu za kutomwonesha Tiffah


mondi na tiffah
Diamond Platnumz ametoa sababu ya kwanini yeye na Zari wameamua kutomwonesha sura mtoto wao Tiffah mpaka siku arobaini (40) zipite.
Mpaka sasa picha zote zaTiffah ambazo Diamond na Zari wanaziweka kwenye mitandao ya kijamii hazimuoneshi sura yake.

tiffah
Akizungumza kupitia kipindi cha Uhondo cha E-FM kinachoongozwa na Dina Marios, Diamond amesema kuwa yeye na Zari walikuwa wanafanya mazungumzo na baadhi ya makampuni yatakayo endorse kupitia picha ya Tiffah itakayomuonesha sura kwa mara ya kwanza.
“Tulikuwa tunasubiri kuna baadhi ya kampuni ambazo kwa mara ya kwanza sura yake ikiwa inaonekana tunataka zi endorse,” alisema Diamond. “Sababu ile picha itasambaa kwa hiyo itakuwa inatangazwa na yale makampuni, tulikuwa tunamalizana nao na tumepanga siku 40 ndo mara ya kwanza.”
Kutokana na mipango hiyo Dimaond amesema kuwa wamejitahidi sana kutoruhusu mtu yeyote kumpiga mtoto picha katika kipindi hiki kabla siku 40 hazijafika, ili isije kusambaa na kuharibu mchongo mzima.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top