Mkuu
wa hifadhi ya Ruaha Christopher Timbuka Apata ajali hifadhi ya Mikumi
akiwa safarini kuelekea Jijini Dar es salaam na Familia yake. Chanzo cha
ajali ni tairi la mbele kuchomoka hakuna aliyepoteza maisha. Kwa sasa
wanaendelea na matibabu katika hospital ya St Kizito Mikumi.
Loading...
Post a Comment