Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo Movie anaejulikana kwa jina la Aunty Ezekiel ameweza kuweka kipande kifupi akiwa hosp baada ya kutoka kujifungua, bado hatujajua ni mtoto wa kiume au wa kike. Tazama video hapa chini
on Wednesday, May 20, 2015
Post a Comment