Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAY C AKANA TETESI KUWA AMEANZA KUJISOGEZA TENA KWA LORD EYEZ ALIYEMFUNDISHA KUTUMIA UNGA, ASEMA HAYA


Ngoma mpya itakayotoka hivi karibuni ambayo Lord Eyez amemshirikisha Ray C haimaanishi kuwa mastaa hao waliowahi kuwa wapenzi wamerudisha ukaribu wao.

Kwa mujibu wa Ray C, wimbo huo ulirekodiwa miaka 7 iliyopita.

Ray C amepost picha hii kwenye Instagram na kuitolea maelezo hapo chini

Mambo iende kwa wote wanipendao! Naomba tu kuwajulisha kuwa Nimeskia Lord Eyes anakaribia kuutoa wimbo uitwao Matatizo ambao alinishirikisha!Najua wengi wanaweza tafsiri vingine lakini Niwambie tu kwamba Huu wimbo tuliurekodi miaka SABA ILiopita nchini Kenya kipindi tuko pamoja na si kipindi cha hivi karibuni!Nimeona niongee tu maana naona magazeti yashaanza Udaku,” ameandika Ray C kwenye Instagram.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top