Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUU NDIO MUONEKANO WA GARI LA MWAMVITA MAKAMBA BAADA YA KURUSHIWA MAWE NA RISASI SOUTH AFRICA.

image-20-04-15-08-47-1  Mwamvita Makamba ni mtoto wa Mzee Yusuf Makamba na ni dada wa Naibu Waziri January Makamba ambaye amekua akitajwa kwa uzito kwenye headlines za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015.
Stori kwenye headlines hivi karibuni Mwamvita aliandikwa na baadhi ya magazeti kwamba baada ya January kutajwa kwenye headlines za uchaguzi mkuu, Mwamvita avamiwa na watu wenye silaha Johannesburg Afrika Kusini. image-20-04-15-08-47Baada ya hizo headlines kuendelea Mwamvita anaefanya kazi na kuishi Afrika Kusini alikubali kuongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com na kusema >>> ‘Hii haihusiani na January kugombea Urais na wala haihusiani na uvamizi unaofanywa kwa wageni Afrika Kusini, ilikua ni ajali tu imenikuta nikisafiri kutoka Johannesburg kwenda Sun city jioni’ >>> ‘Nilipita eneo ambalo mchana Polisi walituambia kulikua na maandamano kwahiyo jioni ile walikua wamebakia wahuniwahuni wachache lakini sisi hatukuona sababu ilikua usiku, wakati tunapita mbele yetu ndio tukaona vijana wamechoma matairi’ >>> ‘Lilikua ni tukio la dakika 5 tu lakini ilikua hatari sana sababu wale vijana wengine walikua wameshafika kwenye kioo changu pembeni yani walikua wameshalizunguka gari, tunamshukuru Mungu tuko salama na hakuna aliyejeruhiwa’ – Mwamvita Makamba. CREDIT MILLARD AYO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top