Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HOUSEGIRL MWINGINE KANASWA KAMA YULE WA UGANDA AKIMNYAYASA MTOTO, CHEKI VIDEO YA TUKIO ZIMA HAPA

dsc_9730
Mwaka jana kuna tukio lililoshtua wengi duniani na kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari kuhusu msichana Jolly Tumuhiirwe wa Uganda, aliyemfanyia ukatili mtoto wa bosi wake Arnella mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga vibaya baada ya kukataa kula chakula.

Wakati hilo halijasahaulika tukio linalokaribia kufanana na hilo limetokea tena Kenya.. msichana ambae anafanya kazi za ndani amekutwa akilazimisha kumnyonyesha mtoto wa bosi wake.

Msichana huyo Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya.

Mama wa mtoto huyo amesema aligundua kitendo hicho kutokana na camera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi.

Msichana huyo anashikiliwa na Polisi akisubiri kupandishwa kizimbani.

Hii ni video ambayo inaonesha tukio lote…
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top