Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

GWAJIMA BADO AZIDI KUANDAMWA NA MAASKARI NYUMBANI KWAKE


 
Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima.
Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote. Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano.Mawakili wa Gwajima wakisalimiana na mmoja wa maofisa wa polisi mara baada ya kufika eneo la tukio.Waandishi wa habari wakiwa eneo la tukio.

Waumini wa Gwajima wakiwa wamezunguka nyumba wa askofu wao.
Kundi la wafuasi wa Gwajima wakifika nyumbani kwake mara baada ya polisi kuondoka eneo la tukio.
Baadhi ya watu waliokuwemo ndani ya nyumba ya Gwajima wakichungulia dirishani.
Baadhi ya waumini wa Gwajima wakifuatilia kwa makini hali iliyokuwapo.
Baadhi ya waumini wakiwa mbele ya nyumba ya Gwajima. Gari la polisi likiondoka eneo la tukio.Hapa wakishangilia ushindi baada ya polisi kuondoka eneo la tukio.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top