Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBWA MSTAAFU WA POLISI AAGWA KISHUJAA, AANDALIWA GWARIDE NA KUPIGIWA SALUTI NA POLISI


 
Mbwa mmoja wa Polisi huko New Jersey Marekani mwenye umri wa miaka nane aliyefanya kazi kwa miaka minne amelazimika kustaafu kutokana na afya yake kuwa mbaya.Mbwa huyo wa Polisi ambaye anaitwa Judge amepewa heshima na kuagwa kishujaa, kaandaliwa na gwaride pamoja na kupigiwa saluti na Polisi tukio ambalo lilishuhudiwa pia watu wa haki za wanyama.


Judge alikuwa anastaafu kama mbwa wa Polisi huko West Deptford Township, ambapo alitakiwa kustaafu tangu mwaka 2013, kutokana na maradhi ya meno na pia afya yake ilianza kuzorota kwa kasi.Tangu ameanza kuumwa 2013 hali ya afya yake haikuwahi kuwa nzuri, watu wa haki za wanyama waliona ni vizuri ‘astaafishwe’ na pia wakashauri aendelee kupatiwa matibabu katika Hospitali ya wanyama ya Swedesboro.



Huu ni msafara wa gari zilizombeba mbwa huyo.



Tukio hilo sio geni sana kwa wenzetu, kuliwahi kuwa na story ya ishu ya mbwa mmoja wa Polisi ambaye alizikwa kwa heshima kama ambavyo huwa mazishi ya askari yanafanyika.Angalia picha hapa chini

Shughuli za mazishi ya mbwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top