Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Alipomwapisha Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama  Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika  jana Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha.Bi Halima Maulid Salum kuwa Naibu Katibu  Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika  jana  Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.Picha na IKULU-Zanzibar
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top