Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CCM wazindua Kampeni za kuwawanadi Wagombea wake katika Mtaa wa Osterbay,jijini Dar

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,Ndg. Phillip Mangula (wa pili kulia) na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa (CCM),Mh. Pius Msekwa (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva (wa pili kushoto) mara baada ya uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni katika Viwanja vya Farasi .
Mgombea wa Nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay,Ndg. Zefrin Kimolo Lubuva (wa pili kulia) akisalimiana na Mh. Anne Abdallah ambaye ni Mbunge na Kiongozi Mwandamizi wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za kuwawanadi Wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM katika Mtaa wa Osterbay,zilizofanyika juzi jioni katika Viwanja vya Farasi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top