Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ONA PICHA ZA MAUAJI YA KUTISHA YA KUCHINJANA YANAYOENDELEA HUKO KITETO


Mapigano bado yanaendelea kati ya wafugaji wakimasai na wakulima eneo la Matui, chanzo kugombea maeneo ya kilimo na ufugaji, naomba serikali ichukue hatua maana hali ni mbaya sana, hamna hata pilisi mmoja aliyeenda kutuliza gasia hizo, watu wengi wameshaanza
kuyahama makazi yao kunusuru maisha yao, na inasemekana kuna kundi kubwa la wamasai kutoka Mererani na Simanjiro wamejipanga kwenda kuwasaidia wenzao. 
Raia wamfunga majumba yao na wamekusanyika katika kituo kidogo cha polisi Matui kwajili ya usalama wao
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top