Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTOTO NURU ALIYETEKWA AKUTWA AMEUWAWA KINYAMA


   
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa kiume akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru

ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top