Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PIGO BONGO MUVI... MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA



Mzee Manento enzi za uhai wake.


MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mzee Manento alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo. Ndugu, jamaa na marafiki kwa sasa wamekutana nyumbani kwa marehemu huko Kigogo, Dar kujadiliana kuhusu taratibu za mazishi.


Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. AMEEN!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top