Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUPATA MAJIBU KUWA ANA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI


Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga .
Ndugu Issa Ramadhani (36) mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la kujinyonga chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi ikiwa kitandani 


Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top