Ni habari mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache ,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae umezalisha kile ambacho wengi hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...Tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele
Post a Comment