Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MUME WA JACK CHUZ APATA AJALI AKIENDA MSIKITINI.

 


Mume wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi akionyesha majeraha baada ya ajali hiyo.
MUME wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amesherehekea Sikukuu ya Idd vibaya baada ya kupata ajali wakati akienda msikitini.
 Chanzo cha habari kilitiririka kuwa, Gadner alipata ajali hiyo maeneo ya Mlimani City alipokuwa akishuka kwenye Bajaj ambapo Bodaboda ilimpitia na kumgonga.
Msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi wakati wa harusi yao.
 “Ameumia sana, alikuwa akienda kuswali swala ya Idd lakini kwa bahati mbaya ajali hiyo ikatokea,” alisema mtoa habari huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.Gadner alipoatikana alikri kupata ajali hiyo na kueleza kuwa, kwa sasa anaendelea kuuguza majeraha.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top