Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ROMA ATIMIZA AHADI YAKE

Katika
kitu ambacho hakikutegemewa kabisa kutokea licha ya yeye mwenyewe
kuweka ahadi, ni Roma kuingia ndani ya Sharobaro Records na kufanya kazi
na producer  Bob Junior. Lakini amini usiamini Roma amekamilisha ahadi
yake na ameingia Sharobaro Records na ku record na Bob Jr.
Wiki
mbili zilizopita wakati mchezo wa fainali za kombe la dunia
zikiendelea, wakati  Brazil na Argentina zikiwa uwanjani, Msanii wa
Hiphop ambae kazi zake nyingi hufanyika Tongwe Records Roma, alipost
picha yenye maneno yanayosema

matokeo
yake Brazil wakachapwa tena goli 7 kwa 1, kwa kipigo kile kitakatifu
Roma hakutaka kuzungumzia ishu hiyo hata baada ya kupigiwa simu.
Lakini jana Roma alipost picha akiwa na Bob Jr ndana ya studio za Sharobaro na kuandika 
Real
NINJA always lay...on his words!! Xo am xtand on ma' words!!!! Last nyt
baada ya ftari tu...nikapiga ndefu hadi TONGWE nikagonga ngoma moja na
#josmtambo#  Kisha nikamchukua producer wangu wa TONGWE REC...tukaenda
wote kwa BOB JUNIOR!! SHAROBARO REC!! Wakakaa kiti kimoja.... Bob
junior(sharobaro rec)+ geof master(tongwe rec)!!!===== Wakagonga BEAT!!!
Guess what.......!!! We makin history!!
Kwa upande wake bob jr yeye amesema 
ilikuwa poa kabisa kwasababu kaja moja kwa moja nimemsikilizisha beat alikuja na idea yake kabla sijamsikilisha beat, lakini nilipomsikilizisha beat idea yake akaiweka pembeni kakubali sana nilichokifanya, wimbo unaitwa maumivu, ni bonge moja la ngoma. hii ngoma mi nimeimba chorus ye anachana halafu kwenye verce tunajibishana ye akichana mi naimba kwahiyo mungu akijaalia wiki ijayo itatoka....endelea kumsikiliza hapo chini


 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top