Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MOURINHO ATHIBITISHA DROGBA KUREJEA CHELSEA



Chelsea thinking about Drogba return - Mourinho
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amethibitisha kuwa mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Didier Drogba anarudi darajani.
Nyota huyo raia Ivory Coast  aliitumikia Chelsea kwa miaka 8 na kuondoka mwaka 2012  ambapo alijiunga  Galatasaray ya  Uturuki baada ya kutwaa kombe la UEFA dhidi ya Bayern Munich.
Ingawa ana miaka 36 kwasasa, Mourinho anaamini bado anaweza wa kucheza ligi kuu nchini England na michuano ya kimataifa.
“Tunalifikiria hilo,” Mreno huyo aliwaambia waandishi wa habari baada ya kuulizwa uwezekano wa Drogba kurudi.
“Tunahitaji kushinda mechi na kushinda makombe na Didier ni moja ya washambuliaji bora barani Ulaya,”.
“Bado anao uwezo wa kucheza ligi kuu na tunalifikiria sana hilo na hatuendeshwi kwa hisia”.

“Kama unamrudisha, si kwasababu yeye ni Didier au alifunga magoli mengi muhimu katika historia yake Chelsea, au kwasababu nahitaji msaidizi, hapana, namrudisha na maamuzi yamekuja mapema kwasbaabu yeye kama mchezaji anaweza kuifanya timu kuwa imara”.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top