Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AUNTY EZEKIEL AUGUA GHAFLA

STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ameshindwa kutimiza azma yake ya kufuturisha pamoja na kuwaombea dua wasanii walioaga dunia kutokana na kuugua na kulazwa.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Awali msanii huyo alitangaza kufanya tukio hilo Jumanne iliyopita lakini Mungu hakutaka atimize lengo lake hilo kufuatia kukumbwa na malaria ya nguvu pamoja na presha.
“Nasikitika sana nimeshindwa kutimiza lengo langu maana niliugua ghafla na kulazwa Hospitali ya Dk. Mvungi, sikuwa na cha kufanya zaidi ya kumuomba Mungu anijaalie uzima ili niweze kutimiza lengo hilo siku nyingine kabla Ramadhani haijaisha,” alisema Aunt.GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top